Unapokuwa chuo kuna ukuaji binafsi unaoendelea kwenye maisha na wakati huo ni muhimu kusoma vitabu vitakavyokusaidia kuwa na maendeleo binafsi na kuona maisha katika jicho chanya, vitabu hivi vitano vitakusaidia kufanya hivyo.
Dunia inabadilika siku hizi na vitu vingi viko kidijitali zaidi, ili uendane sawa n dunia lazima uwe na ujuzi pia wa kidijitali. Na huu ndio ujuzi unaopaswa kujifunza.
There are times in life when you might feel stuck or like your life is not moving forward, if today is one of those days read this.
‘Unakuwa kama mwanamke’ ni neno ambalo wanaume huwaambia wanaume wenzao ili kuwadhalilisha na kuwafanya wajisikie vibaya kwasababu katika jamii zetu kuwa mwanamke ni kitu kinachoonekana cha chini cha kudharauliwa, hivyo wanaume wengi huumia wakiambia hivyo.
Have you been thinking about deleting your social media accounts? Here are two books that will finally make you do it.
Some weird thoughts I had today about our social media usage and addictions, I don’t have a solution yet, just some questions and thoughts.
Uongozi wa Magufuli umebadilisha mambo mengi sana, kifikra binafsi na kwenye nchi. Nilipokuwa naangalia uongozi wake, haya ndio mambo niliyojifunza ya jinsi ya kuwa kiongozi bora.
Hope is found in the foundation he has built for us which still lives in us and will forever do. Hope is found in living as bold and unapologetic as he did, following the path he laid out for us.
Unapofiwa, kufeli, kupata ajali au kupitia jambo lolote linalokupa majonzi, hizi ni hatua tano za maombolezo wanasaikolojia wanasema unaweza kuzipitia kipindi hicho
Losing someone in your life is never easy, And in that season of grieving here are five songs that can comfort you right now.