Pata majibu ya maswali yako yote kuhusu maisha ya chuoni na changamoto zake

Category: Maisha ya Chuo

Maisha ya Chuo

Jambo la kuzingatia unapochagua sehemu ya kufanyia field

(Tembelea maishayachuo.com kupata makala, dondoo na msaada kuhusu chuo kutoka kwa waliomaliza vyuo) Kuna wale wanaofanya field kwasababu ni sehemu ya somo na inakupa maksi, na kuna wale wanaotilia mkazo na kuona umuhimu wake. Kuna watu waliotengeneza connections za kazi field na wengine walijifunza mambo mazuri tu mpaka wakazawadiwa vyeti sehemu walizofanya field. Anyways, kama unafikiria kufanya […]

Eunice Tossy 
Muongozo wa Maisha ya Chuo

Je unaenda chuo? Au upo chuo?

Pata majibu ya maswali yako yote uliyonayo kuhusu maisha ya chuoni hapa, pata dondoo na ushauri kwenye mahusiano, maswala ya pesa na biashara, afya yako chuoni, mitindo, skendo za chuo, kudili na walimu wasumbufu na ada mbalimbali zinazowahusu wanachuo kwenye kitabu hiki

Bonyeza Hapa Kupata Kitabu Hiki
Translate »