Nakumbuka nilitoa ushauri kwa wanaomaliza chuo, kuwa wasome course za mtandaoni ili kujiongezea ujuzi wakati wanatafuta kazi.

Na nikasema nitatoa list ya tovuti ambazo unaweza kusomea, maana hizi tovuti zinacourse mbalimbali kutegemeana na wewe unataka kujifunza nini, tovuti zenyewe ni;

edX

Alison

Coursera

Future Learn

Inayoendana : Zijue tovuti zinazoshare fursa za kazi Tanzania

Khana Academy

Udemy

Stanford Online

Na kama unapenda kujifunza coding, Code Academy itakufaa.

Badala ya kumaliza bundle kufuatilia wasanii mitandaoni labda unaweza kulitumia kujiongezea ujuzi na ukawa nafasi nzuri ya kupata ajira au kujiajiri.

Eunice

You May Also Like

Share Your Thoughts With Me

Translate ยป