Pata majibu ya maswali yote uliyonayo kuhusu maisha ya chuo na changamoto zake

Eunice’s Shop

Karibu kwenye duka la blogu yangu ambapo kuna bidhaa mbalibali utakazozifurahia. Kwa kununua hapa sio tu unapata bidhaa utakayoifurahia lakini pia unasupport uendeshwaji wa blogu hii, kwahivyo asante sana kwa hilo.

(Kwasasa bidhaa hii zinapatikana Tanzania tu, Mawasiliano- 0627975502)

  • Pata kitabu hiki cha Kiswahili kinachotoa muongozo kuhusu maisha ya chuo na kujibu maswali yako yote uliyonayo kuhusu chuo

Sema jambo kupitia vazi lako

‘Najipenda Nilivyo’ T-shirt.

Pata T-shirt hii kwa rangi na size unayoitaka. Inapatikana kwa Tsh 15000 tu


‘Live Simply, Simply Live’ T-shirt.

Kama unapenda kuishi maisha yako very simple, t-shirt hii ni kwa ajili yako. Kwa size na rangi yoyote utakayoipenda, weka oda hapa, Tsh 18000


‘I got this’ T-shirt.

Kwa Tsh 18000, show us that you’ve got it kweli.

‘Nina thamani’ begi.

Jikumbushe kila siku na uweke mizigo yako kwa Tsh 15000 tu

Translate ยป