Pata majibu ya maswali yote uliyonayo kuhusu maisha ya chuo na changamoto zake

Maisha ya Chuo

10 ways to have fun in university | Your Guide to University Life

(Tembelea maishayachuo.com kupata makala, dondoo na msaada kuhusu chuo kutoka kwa waliomaliza vyuo)


Let’s be clear kwenye kitu kimoja, chuo sio bata. Ni kweli uko free, ni kweli hauishi kama ulivyokuwa boarding, ni kweli unajipangia ratiba mwenyewe kasoro za masomo, ni kweli utakuwa na hela na hivyo uchaguzi wa kufanya chochote lakini yote hayo chuo sio bata.

Chuo maisha ni magumu, usipojipanga au kujua ni jinsi gani ubalance vyote.

Soma : Chuoni bata na mambo mengine ya uongo utakayoyasikia kuhusu chuo

Okay!

But katika yote hayo Leo napenda kukuambia ways ambazo unaweza ukaenjoy chuo, chuo sio bata, ila unaweza ukala bata ukiwa chuo, and here are couple of ways you can do so :

– Kama utaenda mkoa mwingine, basi nenda tourist attractions or safiri mkoa huo kuujua nje na ndani, you never know maybe you will live in that place only once, and so get to know the region.

(Mimi nilisoma Mbeya, and I had fun knowing Mbeya)

-Fanya field mkoa mwingine (nitaongelea zaidi namna unavyoweza kufanya field mkoa mwingine), lakini unaweza kujipanga kwenda kuzurula pia mkoa mwingine, na kuenjoy Tanzania

-Go out with friends

-Learn something new either a language, kifaa cha muziki, sport or anything you like

-Make friends

-Do parties, birthday parties, after exams parties, au kama unapenda parties kama mimi kuna room parties, for no reason just to eat and dance.

-Kula your favourite food every day

Learn more about yourself (jitafute) as a man or woman, discover who you are, what you don’t like and what you like

-Volunteer, tumia weekend zako to do good for the society as well

-Eat out, on weekends or any day of the week

Na mengine mengi zaidi, ambayo utapenda kuyafanya au utaona yanakufaa kwa mazingira uliyopo.

Ni kweli umeenda kusoma and nakushauri ukaweke kusoma number moja, but pia jua jinsi ya kutoa stress zako in a healthy way.

Jua jinsi ya kubalance masomo na fun.

You are free now, enjoy life, use your freedom wisely.

Jua jinsi ya kuenjoy chuo, ili ukimaliza chuo na ukaangalia vile umeishi uone kweli umetimiza lengo la kuwa chuo, lakini pia ulienjoy kuwepo chuo..

Work and play!
Isn’t life supposed to be lived like that??

Eunice

(Kupata dondoo hizi na nyingine nyingi, pata kitabu cha Your Guide to University Life, kinachokusaidia kupata majibu ya maswali na kila jambo unaloweza kupitia kama mwanachuo, kwenye kitabu hiki utapata ushauri kutoka kwa waliomalia chuo kuhusiana na maswala ya pesa na biashara, urafiki, supp, carry, disco, mahusiano, migomo, mambo ya kufanya ukipata skendo chuo, jinsi ya kudili na walimu wasumbufu, ushauri wa mitindo, jinsi ya kujiandaa na maisha ya mtaani ukiwa chuo na mada nyingine kedekede, kukipata kitabu hicho kwa Tsh 5000/= tu, bonyeza hapa)

3 Comments

Share Your Thoughts With Me

Translate »