pensive black man using laptop while akita inu resting on floor

Je uko chuo? Na unapenda kujifunza kitu kingine tofauti na unachosomea au ungependa kufanya utafiti zaidi wa kile lecturer alichosema?

Hizi hapa ni njia 7 za kujifunza skills yoyote ile unapokuwa chuo;

1. Mtandaoni – YouTube

2. Mitandaoni : Instagram & Online courses or webinar

3. Mtandaoni – Tovuti

Pia Soma : Tovuti zinazokuwezesha kusoma kozi yoyote mtandaoni

4. Experience ya maisha yako na ya wengine / kufanya yale unayopenda kama kazi za mkono mfano ushonaji nk au kujifunza toka kwa wengine kwa vile wanavyovijua

5. Vitabu – kuna vitabu karibia vya mada yoyote ile unayoitafuta

6. Teachers online

7. Kujitolea sehemu wanazofanya mambo hayo unayopenda kujifunza

Je ungependa kujifunza skill gani?

Zifahamu : 12 digital skills zitakazokusaidia kujiajiri

Eunice

You May Also Like

Share Your Thoughts With Me

Translate ¬Ľ