Kwenye toleo la kwanza la Stori za Bongo nilishare stori mbalimbali za ushauri ambao watu wamewahi kupokea, kwenye toleo la pili nimeshare aina mbalibali za magonjwa ya akili, jinsi ya kujali afya yako ya akili na vyakula vizuri kwa ajili ya afya ya akili.

Unaweza kusoma gazeti la Stori za Bongo sasa au ukalidownload.

Ningependa kusikia mrejesho wako pia kuhusu gazeti hili.

Eunice

You May Also Like

1 Comment

  1. Njia 3 rahisi za kudhibiti hasira – Eunice Tossy

    […] Pia Soma : Jinsi ya kujali afya yako ya akili […]

Share Your Thoughts With Me

Translate »