Miliki Blogu Yako

Unatamani kuwa na blogu yako?

Baada ya kuulizwa muda mrefu na watu wanaotamani kujifunza kuhusu uandishi na kumiliki blogu, nimeamua kusikiliza maoni ya watu na kuandaa hii programu kwaajili ya watu hao.

Nimeandaa kozi kwaajili ya wanaotamani kuwa na blogu na wanaotamani kuwa waandishi, hii ni kozi ya moja kwa moja na mtu mmoja, na pia mentorship kwa muda mfupi.

Angalia hapa👇🏿

Nasubiria simu yako!

Translate ยป