Nimemaliza chuo mwaka 2018, nikiangalia nyuma kuna vitu vingi ambavyo natamani ningevifanya tofauti wakati nipo chuo, nilipokuwa chuo nilifanya makosa mengi sana ambayo yamenifundisha mengi, siwezi tena kurudi chuo kuishi kiutofauti ila naweza kushea nanyi haya mambo ili mjifunze kutoka kwangu, ili muishi maisha ya chuo kitofauti na kwa mafanikio zaidi.

Haya hapa ni mambo 12 ambayo natamani ningeyafanya kitofauti nilipokuwa chuo;

Usiache kufollow Instagram @maishayachuo na kusubscribe YouTube channel ya Maisha ya Chuo ili kupata dondoo kila siku zinazokurahisishia maisha ya chuo na kukusaidia kukabiliana na changamoto yoyote ile inayoweza kutana nayo chuoni.

Eunice

You May Also Like

Share Your Thoughts With Me

Translate »