Pata majibu ya maswali yote uliyonayo kuhusu maisha ya chuo na changamoto zake

man writing on a notebook
Maisha ya Chuo

Mambo ya kufanya kama umepoteza mood ya kusoma

(Tembelea maishayachuo.com kupata makala, dondoo na msaada kuhusu chuo kutoka kwa waliomaliza vyuo)


Kupoteza mood ya kusoma ukiwa chuo huwa inatokea kwasababu mbalimbali, muda mwingine huwa inatokea mwanzo wa semester, muda mwingine huwa inatokea mwishoni kipindi cha mitihani ya mwisho, lakini hali ambayo huwa inatokea.

Pia Soma : Jinsi ya kuandaa ratiba binafsi ya kujisomea chuoni

Najua huwa nashauri sana kuhusu kusolve past papers na kufanya discussion, ila kwa mtu ambaye hana mood hata ya kusoma discussion inaweza msaidia kwa vile anakuwa anajifunza kwa kusikiliza, na haya mengine ninayoyataja hapa chini yanaweza kusaidia kurudisha mood au kusoma tu hivyo hivyo kwa nguvu;

  • Anza na somo unalolipenda au mada unayoipenda halafu soma kwa lengo la muda fulani, kwa lisaa nitasoma hapa nikimaliza basi
  • Muda mwingine unakuwa hauna mood ya kusoma mada fulani kwa vile nafsi yako inakuambia haitoki kwenye mtihani hivyo zingatia na hilo pia
  • Jihamasishe kwa kujua kuwa hata muda kidogo ukibakia unaweza kubadilisha matokeo na jikumbushe malengo yako ya GPA unayoitaka

Na mambo mengine 6 ya kufanya unapopoteza mood yakusoma angalia hapa;

Usiache kufollow @maishayachuo Instagram na kusubscribe kwenye chaneli ya Maisha ya Chuo YouTube ili upate dondoo, msaada na ushauri kwa wanachuo.

Eunice

One Comment

Share Your Thoughts With Me

Translate ยป