Matokeo ya form six yametoka.

Baada ya kusubiri kulikoonekana kama mwaka mzima hatimaye umeona majibu…

Pole sana..

Pole kwamba umepata usilolitegemea, ulilokuwa unaliogopa, ulilokuwa unaona ndio mwisho wa maisha yako.

Pole sana kwa kufeli.

Pole kwa vile unavyojisikia.

Najua jamii nzima ilikuwa ikisubiri nawe. Na labda unaona aibu kwa watu wote now, kwa watu wa ukoo wako na mtaa mzima. Pole.

I’m sorry that your worst fear came true.

Sometimes life is unpredictable that way.

Maybe marafiki zako wamefaulu uliokuwa nao darasa moja, na unajiuliza utaweka wapi sura yako… Hautamani kupokea wakipiga simu na pia unahisi wanakucheka na unajiona upo chini yao.

Its funny kwamba maisha tunaishi kama mashindano sometimes, na ndio maana unahisi wanakupigia ili kucheki kama umefanikiwa kama wao. Maybe its true, maybe they really care… But right now surround yourself with people who truly care.

Tukiwa kwenye masomo mitihani ndiyo inayodetermine kuendelea kwako mbele, ni muhimu lakini hili linaeffect kubwa sana kwako. Na ndio maana umechukulia kufeli huku kwa maumivu makubwa. Kwasababu unaona ndio mwisho, haufai kuendelea mbele, lakini pia unaona nguvu zako zote hazijalipa kama ulivyotegemeea zilipe.

I’m so sorry that you feel this way, I don’t know your future. I wish I could write this post with ABC’s of what you should do next. But I don’t know what you should do next, all I know is this is definitely not the end of your life. You have a bright future ahead of you, and you are not your exam results.

Kuna tofauti kati ya kufeli na wewe kuwa defined na matokeo yako. Ni kweli umefeli kwenye mitihani, lakini haimaanishi umefeli kwenye maisha. Najua, najua wazazi wanafikiria hivyo sasa, kwasababu toka utotoni tunaaminishwa elimu ni ufunguo wa maisha, na ndio maana wanahisi yako yamefungwa sasa. Najua watu wote wanaona hauna tumaini, na maybe wewe pia unahisi hivyo, lakini maisha ni zaidi ya matokeo unayopata katika season moja ya maisha yako.

Matokeo yako ya form six sio mwisho wa maisha yako, au muonekano wa jinsi maisha yako yatakavyokuwa. Matokeo yako ya form six ndio mwanzo wa maisha yako. Kaa chini ufikirie na ufanye lile unataka kulifanya kwaajili ya maisha yako.

Unapoendelea kuishi utagundua kuwa utakuja kufeli maeneo mengi, lakini haitokuwa mwisho wa maisha, kufeli kuna kufundisha vitu mbalimbali kuhusu maisha na kufanya ufikirie milango mengine. Kwasasa naamini you are smarter, and you see life differently because of this.

This is not the end, you are too young and have your whole life ahead of you to figure out things. To succeed and fail in life. Life is full of ups and downs.

Today you are down, tomorrow will be different.

You will get through this, hata hili litapita.

My brother Avith wanted you to know this as well, “Exam results are not meant to define our life. We hold so much big than what examination tests us to know. Our future is hidden in our potential that cannot even be tested by school examination. Failure of not reaching your expectations in academics is not the end of life. Getting high grades doesn’t mean getting good life or getting low grades doesn’t mean getting low grades of life. Life offers different opportunities to reach our destinies. Failing in one attempt is a step near to the right door of success. Wipe out your tears dear brothers and sisters”.

You my friend, Mungu hajakusahau na Your Future is Bright.

(I created this WhatsApp group for counselling, mentorship and planning for life ahead, because i believe in you and we can work together toward the beautiful future i believe God created for you. this is all free. Please Join my friend) – Click those words to join.

Pia unaweza soma :

Dear High School Graduate

Eunice

You May Also Like

9 thoughts on “And Life Moves On : Kwa ambao wamepata matokeo ambayo hawakuyatarajia.

 1. Daniel Robinson

  You are the best, Eunice. I can see something good in you. All the bests Sis in your moves.

  1. Eunice Tossy

   Thank you so much Daniel..
   I appreciate that brother.
   Thank you?

  2. Ramadhani

   Mimi Nina DEE
   PCB
   Nina anzia wapi ili nta anzia wapi kuxoma ?

   1. Eunice Tossy

    Hello Ramadhani..

    Unaendeleaje?

    Asante kwa kunishirikisha matokeo yako na kuniuliza swali brother..

    Kuna rafiki yangu ameanzisha magroup yanayoitwa Prepare for university nakutumia link yanaweza kukusaidia kujua yote haya, huwa anaita watu wanaoelekeza mambo kama haya. Lakini pia kwasasa TCU nasikia hawajatoa guidebook na hivyo sinajibu zuri LA swali lako kwa mwaka huu wenu wa masomo.. Tusubiri kidogo halafu tutajua my friend. Kwasasa nakushauri ujiunge humu.. Unaweza ukapata msaada wa Karibu zaidi.

    https://chat.whatsapp.com/D7bIAQMfOhH6EwG3P72hMm

 2. 7 Books to read when you feel like a failure - Eunice Tossy

  […] But failure, somehow it still hurts when you experience it. […]

 3. Every ending is a new beginning | 10 things to do after failure. - Eunice Tossy

  […] is a guest post by my brother and friend, Avith. He is the one who gave me the idea of writing a post for those who got unexpected form six results, and with the same heart he sent me this post as […]

 4. 7 Books to read when you feel like a failure – Eunice Tossy

  […] But failure, somehow it still hurts when you experience it. […]

 5. Every ending is a new beginning | 10 things to do after failure. – Eunice Tossy

  […] is a guest post by my brother and friend, Avith. He is the one who gave me the idea of writing a post for those who got unexpected form six results, and with the same heart he sent me this post as […]

 6. Kama unajisikia vibaya kwenda diploma wakati wenzio wanaenda degree – Eunice Tossy

  […] Kwa unayeenda kusoma diploma, nimefurahi kuwa umepata chuo na unaenda kusoma chuo, kwa vile haijalishi matokeo yako kidato cha sita yalikuwaje maisha lazima yaendelee na wewe kwenda kuendelea kusoma kunaonyesha kuwa unajitahidi, na uko tayari … […]

Share Your Thoughts With Me

Translate Ā»