(Kusoma post nyingine zinazohusu maisha ya chuo, bonyeza hapa)
Hello, katika mwanzo huu wa semester ambapo kuna mchanganyiko kibao kwasababu ya ratiba na unajaribu kukeep na mambo ya darasani na ya nyumbani, mambo haya nimeona yana msaada sana katika kurahisisha maisha yako katika semester mpya..
-Print timetable na ibandike ukutani karibu na kitanda chako ili iwe rahisi kuiona
-Don’t skip meals, jitahidi uwe unakula au kama unaona uvivu kwenda kununua (kwa wanaokaa hostel), share zamu na roommates za kwenda kununua
-Hifadhi chumvi room (just in case umenunua chakula ambacho hakina chumvi unajua unayo tayari)
-Always make your bed it makes you excited to get back to it
-Andika goals unazotamani kuzifikia kwenye semester hii mpya uliyoianza
-Anza na urafiki mzuri na malecturer (usidodge vipindi mwanzoni mwa semester)
-Discussion, if you don’t know something ask for help (make sure unaelewa kila ulichosoma kila siku, itakuwa rahisi kureview kipindi cha mitihani,ila pia ndio njia rahisi ya kupata GPA nzuri chuoni, kwani utakuwa unasoma kila siku)
-Use the library, the free WiFi and books (kujifunza mambo ya chuo na ya nje ya chuo)
-Slow down, you don’t need to date or have serious friendships mapema, take your time to know people and yourself
–Get to know the city you are in..
-Nunua vitu kwa wingi na vihifadhi (mfano pads, sabuni nk).. Ili hata siku ukiishiwa hela unakuwa navyo vimebaki kwenye akiba, lakini pia unavitoa kwenye mahesabu kwasababu tayari ushanunua vitu vingine hela unatumia kwa mengine)
-Ongea na familia nyumbani ili uzoee kuwa mbali nao lakini pia jitahidi kuwajua roommates wako kwa ukaribu maana utaishi nao kwa muda (usianze nao vibaya, vile wanavyokuona Mara ya kwanza inachangia kwenye namna wataishi na we we semester nzima)
-Jitahidi upate notes on time
-Kunywa maji na lala vizuri kabla tests hazijaanza
Thats it for today..
(Please share hii makala kwa marafiki zako / classmates)
Eunice
2 Comments
Heshborn
I like the text…it’s so helpful… Thanks author
Eunice Tossy
Thank you Heshborn. Thank you for reading as well