Hello, i hope unaendelea poa. Kama unatamani kujifunza Kiingereza nimeshare njia mbalimbali ambazo unaweza kujifunza lugha hio maana mimi pia nimejifundisha mwenyewe sikusoma shule za English medium.

Angalia hapa njia hizo, na usisahau kusubscribe 😊

Kuongezea hizo unaweza pia;

  • Kudownload application ( kuna application nyingi za kujifunzia kiingereza
  • Unaweza kufanya mazoezi kwa kubadilisha lugha kwenye simu
  • Unaweza kufanya mazoezi kwa kutafsiri vitu mbalimbali vinavyokuzunguka hapo ulipo, au unavyovitumia mara kwa mara.

Naomba ushare na mwingine unayeona itamsaidia.

Eunice

You May Also Like

1 Comment

  1. Soft skills unazopaswa kuwa nazo chuoni – Eunice Tossy

    […] Makala inayoendana : Njia 6 za kujifunza kingereza bure na kwa haraka […]

Share Your Thoughts With Me

Translate ยป