Nimekuwa nafikiria sana kuhusu tunavyosema kuhusu ‘kuiba au kuibiwa mwanaume’ na haya ndiyo mawazo yangu baada ya kufikiria hili kwa muda.
Kwenye maisha yetu na jmii zetu hya mambo 3 yamepewa kipaumbele kikubwa sana, hivyo kuwa makini unapoyatafuta.
Je unajipenda? Au umemuachia mtu mwingine jukumu hilo? Kwenye makala hii mwanasaikolojia anatuonyesha umuhimu wa kujipenda kwa vile tukijipenda tunaweza wapenda wengine vizuri
One day before Valentine’s day i decided to try my luck in finding a partner via online dating, so i went to a virtual speed dating event. Spoiler alert, I’m still single but here’s what I learned about finding a partner.
Read this if you struggle to believe that you are lovable.
Now that we know Africa’s biggest problem from part one of this series, here is it’s solution.
In this series Murunga Makau tackles one big problem in Africa and provides solutions for it.
Je unatamani kufanikiwa kwenye maisha? Hizi hapa ni siri / sheria 7 za mafanikio ambazo ni muhimu kuzijua
Je umepanga leo utafanya nini? Kama bado jua umuhimu na jinsi ya kuvunja malengo yako makubwa kwa kuyatimiza taratibu kwa siku
Hauko peke yako, ila kwa kuwa watu hawasemi hadharani basi unahisi wewe peke yako ndio unataka kuacha chuo. Maisha ya Chuo ni magumu ukijumlisha na changamoto za ujana, kama unafikiria kuacha chuo, haya ndio ningependa uyajue..