Kwenye makala hii mwanasaikolojia anatueleza kuhusu ubonog, hisia na hasira, jinsi ya kuishi na watu wenye hasira na jinsi ya kudhibiti hasira zetu.
Wote tunapenda kuwa na furaha maishani, lakini je unajua tabia zinazokufanya uwe na hiyo furaha ambayo ungependa kuwa nayo?
Je unakaribia mitihani na hauna hamu ya kusoma?? Haya hapa mambo yatakayokusaidia kipindi hiki
Kurudiana na mpenzi wako mlioachana hapo kabla ni jambo ambalo huwa linatokea, kama unafikiria kufanya hivyo haya hapa ni maswali ya kujiuliza
Unatumiwa meseji na rafiki yako kuhusu fursa ya biashara ambayo anahisi inakufaa sana ukifanya, anahisi itakutajirisha, unatamani kuisikiliza maana na wewe unataka kufanya biashara ili uzalishe pesa, ila utajuaje kuwa biashara anayokushirikisha ni biashara za mitandaoni ambazo ni za utapeli? Haya hapa mambo yatakayokusaidia kujua
Unapoongea na wateja kwenye bashara yako ni muhimu sana kuwa mwangalifu kwa kauli unazowaambia maana hizo zinaweza kujenga au kubomoa biashara yako. Hizi hapa ni kauli sita ambazo haupaswi kumwambia mteja
A friend of mine invited me to a Christian women’s event last year, I just told her i don’t attend them anymore, this is what i wish i told her cause the answer to me was deeper than just attending that day, i have grown out of them.
Kuachana na mpenzi wako ni jambo ambalo linaumiza sana na kuipasua dunia yako yote. Hizi hapa ni namna mbalimbali zitakazokusaidia kuendelea na maisha na kupona moyo unapoachana na mpenzi wako
Development of Africa is buzz word thrown around since I don’t remember when, but what does it mean? what do Africans think of NGOs, here me and Ben from Uganda share our thoughts on the subject
Je unamfahamu mjasiriamali mdogo? Hizi hapa ni namna unazoweza sapoti biashara yake mtandaoni bila kutumia gharama yoyote