Pata majibu ya maswali yote uliyonayo kuhusu maisha ya chuo na changamoto zake

man in blue suit
Guest Post

Sheria 7 za mafanikio

1- Mafanikio ni zaidi ya vita ndio maaana wanaopambana ni wengi na wanaoshinda ni wachache.

2- Kila mtu anajua siri ya mafanikio yake, kwahiyo usijifananishe na mtu, pambana wewe kama wewe.

3- Usitake mafanikio ya haraka kumbuka kila chenye haraka kina gharimu.

4- Fanya mambo yako kwa upekee hata kama jambo hilo mnafanya watu zaidi ya wawili, upekee ndio unaongeza thamani yako

Pia Soma : Ukipata kazi usinunue gari kwanza

serious businesswoman with laptop and badge

5- Kuwa mtu wa pekee kwani mafanikio huenda kwa watu wachache wenye upekee. Ila upekee wa juhudi za ziada.

6 Daima mtangulize Mungu yeye ndio anajua hatima yako.

7- Kila kitu katika huu ulimwengu kina mwanzo na mwisho hivyo basi kama upo katika wakati mgumu una mwisho wake, ila bidii za kujitoa katika hiyo hali ni muhimu sana.


Imeandikwa na Mr Yamungu Omary, ni mwanafunzi chuo cha kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, shahada ya jinsia na maendeleo, pia ni mhamasishaji na mwandishi wa kitabu Cha” maendeleo Ni wewe” pia ndio mwenyekiti wa taasisi ya ukombozi wa kijinsia kwa watoto. 
Mawasilano : 0763855049

Share Your Thoughts With Me

Translate »