Pata majibu ya maswali yote uliyonayo kuhusu maisha ya chuo na changamoto zake

man in red polo shirt smiling
Dondoo za Maisha,  Guest Post

Tabia 30 zinazokufanya uwe mwenye furaha maishani

Wote tunapenda kuwa na furaha maishani, lakini je unajua tabia zinazokufanya uwe na hiyo furaha ambayo ungependa kuwa nayo?

Hizi hapa ni tabia 30 zinakazokufanya uwe na furaha maishani;

1.  Samehe
2.  Jiamini
3.  Jifunze
4.  Jipende
5.  Tabasamu
6.  Usihukumu
7.  Jiheshimu
8.  Panga malengo
9.  Fanya Ibada
10. Kula vizuri
11. Kuwa mkarimu
12. Kuwa mwenye shukrani
13. Kuwa na mawazo chanya
14. Kuwa mwenye Subrah (mstahimilivu)
15. Fanya mazoezi
16. Fanya tahajudi (meditate)
17. Weka hitaji lako kuwa ni kipaumbele
18. Epuka kuwa mtu wa visingizio
19. Usiwaongelee watu kwa ubaya
20. Sikiliza ili uelewe, Usisikilize ili ujibu
21. Kuwa na imani, ondoa uwoga
22. Ishi upendavyo
23. Kuwa muaminifu
24. Kuwa na suluhisho kwa kila likufikalo
25. Usijilinganishe na wengine
26. Badili “changamoto” kuwa “fursa”
27. Usiweke moyoni vitu vitakavyokuumiza
28. Chagua marafiki watakao kusaidia kufikia ndoto zako 
29. Si kila tatizo ukabiliane nalo, mengine ni ya kuyaepuka
30. Kuwa na utaratibu mzuri wa kupumzika, afya yako ni muhimu.


Imeandikwa na ; Iman Brighton (0717993213)

Share Your Thoughts With Me

Translate »