Where a guest blogger answer all your questions about Depression, asking for help and the difference between depression, stress and sadness
Najua ni jinsi gani unahisi hauna tumaini na hauoni mwanga. Najua ni jinsi gani unaona hakuna njia yoyote ya kumaliza tatizo lako, lakini natamani nikwambie ujaribu njia nyingine. Usijiue