Ukiwa mnene kwenye dunia ambayo kuwa mwembamba ndio urembo ni kazi sana. Nimechukua muda kufika hapa na kujikubali vile nilivyo, na haya ndio yaliyonifanya nifikie hapa