Unatumiwa meseji na rafiki yako kuhusu fursa ya biashara ambayo anahisi inakufaa sana ukifanya, anahisi itakutajirisha, unatamani kuisikiliza maana na wewe unataka kufanya biashara ili uzalishe pesa, ila utajuaje kuwa biashara anayokushirikisha ni biashara za mitandaoni ambazo ni za utapeli? Haya hapa mambo yatakayokusaidia kujua
Unafikiria kufanya biashara za network marketing, hii hapa ni story ya Mtafutaji Mweupe ya alivyoenda polisi kwasababu ya biashara hizo