Hauko peke yako, ila kwa kuwa watu hawasemi hadharani basi unahisi wewe peke yako ndio unataka kuacha chuo. Maisha ya Chuo ni magumu ukijumlisha na changamoto za ujana, kama unafikiria kuacha chuo, haya ndio ningependa uyajue..