Kurudiana na mpenzi wako mlioachana hapo kabla ni jambo ambalo huwa linatokea, kama unafikiria kufanya hivyo haya hapa ni maswali ya kujiuliza
Kuachana na mpenzi wako ni jambo ambalo linaumiza sana na kuipasua dunia yako yote. Hizi hapa ni namna mbalimbali zitakazokusaidia kuendelea na maisha na kupona moyo unapoachana na mpenzi wako