Unapokuwa chuo kuna ukuaji binafsi unaoendelea kwenye maisha na wakati huo ni muhimu kusoma vitabu vitakavyokusaidia kuwa na maendeleo binafsi na kuona maisha katika jicho chanya, vitabu hivi vitano vitakusaidia kufanya hivyo.
Kuachana na mpenzi wako ni jambo ambalo linaumiza sana na kuipasua dunia yako yote. Hizi hapa ni namna mbalimbali zitakazokusaidia kuendelea na maisha na kupona moyo unapoachana na mpenzi wako
Kuna mambo mengi ambayo nikiangalia jinsi nilivyoyafanya chuo natamani ningeyafanya differently, nashea nanyi hapa ili wewe uishi tofauti na vile nilivyofanya, pale nilipokosea wewe ufanikiwe
Je unataka kupanga ratiba binafsi ya kujisomea chuoni? Dondoo hizi zitakusaidia kuipanga
Je unaenda chuo? Hizi hapa ni soft skills ambazo ukiwa nazo maisha yako ya chuo yatakuwa mepesi
Hizi hapa njia kumi ambazo zinaweza kumsaidia mwanachuo kujali afya yake ya akili
Haya ni mambo machache ambayo nikiangalia nyuma nilipokuwa chuo, natamani ningeyajua mapema
Upo chuo? Hivi ndio vitu vya kufanya chuoni ili kutumia muda wako vizuri na kufanikiwa zaidi
Are you going back to university? Don’t forget these things
Ujumbe maalumu kutoka kwa dada Amina Sanga kwenda kwa wanafunzi waliochaguliwa kwenda chuo