Maisha ya chuo ni maisha ambayo sometimes yanadetermine vile unaweza ishi maisha yako yote and sometimes not.. But what is for sure ni kuwa unaishi na consequences za uchaguzi wako, na vile unavyoonekana chuo ndio ndivyo watu watakavyokuongelea for the rest of their lives.?