‘Unakuwa kama mwanamke’ ni neno ambalo wanaume huwaambia wanaume wenzao ili kuwadhalilisha na kuwafanya wajisikie vibaya kwasababu katika jamii zetu kuwa mwanamke ni kitu kinachoonekana cha chini cha kudharauliwa, hivyo wanaume wengi huumia wakiambia hivyo.