2020 is around the corner.. I am so excited for it’s lessons and experiences.. Here are the things I have learned in 2019
Wakati mwaka unaelekea kuisha, embu tujiulize maswali haya ili yatuonyeshe vile tuliishi huu mwaka na kama kuna lolote la kujipanga kwaajili ya mwaka ujao