Pata majibu ya maswali yote uliyonayo kuhusu maisha ya chuo na changamoto zake

Maswala ya Pesa

Kitabu kilichobadilisha jinsi ninavyoiona na kuitumia hela

Kuna kitabu ambacho nimekisoma hivi karibuni kinachohusiana na mambo ya fedha na matumizi binafsi ya pesa, ambacho nimekuwa namshauri kila rafiki yangu akisome. Kitabu hicho ni The Psychology of Money kilichoandikwa na Morgan Housel.

Hivi karibuni nimekifanyia uchambuzi, na nimeelezea mambo niliyojifunza kuhusu hela, kuweka akiba, kuweka malengo ya kifedha, saikolojia ya fedha na matumizi nk kutoka kwenye kitabu hicho, angalia video hii hapa chini kuona uchambuzi huo na usisahau kusubscribe.

Share Your Thoughts With Me

Translate ¬Ľ